Rise-from-Moon
Rise From Moon ni podcast inayochambua na kuibua mijadala ya kijamii kwa mtazamo wa kipekee. Tunazungumzia michezo, burudani, tamaduni, muziki, matukio ya sasa na makala maalum kwa lengo la kuelimisha, kuarifu na kuburudisha. Kila episode ni mwangaza mpya – kama kuamka kutoka giza la usiku hadi nuru ya mwezi! Ungana nasi kila wiki kupitia sauti inayobeba ujumbe wa jamii. Sauti ya Jamii. Moyo wa Habari. Rise From Moon!
Episodes

Friday May 23, 2025
Friday May 23, 2025
Maadhimisho siku ya nyuki duniani yamekuwa mafunzo na Fursa kwa wakazi wa Dodoma.

Sunday May 18, 2025
Sunday May 18, 2025
Siku ya nyuki duniani imeibua Fursa kwa watu ambao wameweza kujitokeza katika viwanja vya Chinangali park.

Sunday May 11, 2025
Sunday May 11, 2025
Mwenyekiti wa kamati wa UDOM Ambassadors giving for charity season 9 aeleza yaliyojiri hombolo bwawani.

Saturday May 03, 2025
Saturday May 03, 2025
Mwenyekiti wa UDOM Ambassadors Bi Munila Semjaila ameeleza maandalizi ya tukio hilo.

Sunday Apr 20, 2025
